

IBN TV free live tv streaming channel

Mfumo mtandao wa Runinga ya Al ITRAH (Ibn TV) ni kituo binafsi (kujitegemea), ilianzishwa chini ya usimamizi wa Al ITRAH FOUNDATION na imekuwa hewani rasmi tangu Machi 2003...
Tazama mtiririko wa moja kwa moja wa IBN Tv
Runinga ya Ibn ni moja ya vyombo vya habari binafsi ilianza baada ya biashara huria katika sekta ya vyombo vya habari nchini Tanzania. Runinga ya Ibn ni ya kwanza ya Kiislamu na njia ya matangazo (channel) kutoka Dar es Salaam, Tanzania. Runinga ya Ibn inashughulikia karibu mkoa wote wa Dar es Salaam na Tanga.
Runinga ya Ibn yenye makao makuu jijini Dar es Salaam, Tanzania, inaendesha programu nzuri zenye ufafanuzi wa kina kulingana na wakati uliopo. Runinga ya Ibn hurusha matangazo katika lugha tatu tofauti yaani (Kiingereza, Kiswahili na Gujarati – Kiurdu-Hindi) malengo ya programu zake ni kuvutia na kuelimisha watu wa aina zote Waislamu na wasio Waislamu na zaidi kuwaelimisha Waislamu katika jamii yetu.
Watch IBN Tv live stream
IBN TV is one of the specialty media launched in Tanzania after the liberalization of the media industry. IBN TV is the first Islamic channel broadcast from Dar es Salaam and covers almost the entire Dar es Salaam and Tanga region.
Source: https://www.ibn-tv.co.tz
Watch World FREE LIVE TV STREAMING CHANNELS LIVE ONLINE































































































































